5 Nov 2026 2:23 pm | Citizen TV 16,713 views Duration: 1:56 Wakulima wa maziwa wanaopeleka maziwa yao katika kiwanda cha Kabianga wamefurahia ongezeko la bei ya maziwa kutoka shilingi 55 hadi shilingi 63 kwa lita.