Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa Meru wanufaika na vifaa vya kilimo vya sh 18 milioni

  • | Citizen TV
    248 views
    Duration: 1:39
    Wakulima katika kaunti ya Meru wamenufaika na vifaa vya kilimo vyenye thamani ya shilingi milioni 18 vilivyotolewa na serikali ya kaunti. Vifaa hivyo vinajumuisha matrekta, mitungi ya kuhifadhi maziwa na mitungi ya kuhifadhi mbegu za kuzalisha mifugo, hatua inayolenga kuongeza uzalishaji wa kilimo na mifugo pamoja na kuboresha kipato cha wakulima katika kaunti hiyo.