- 1,377 viewsDuration: 3:44Wakulima wa miwa katika eneobunge la Mosop, Kaunti ya Nandi, wanaomba serikali kuwajengea kiwanda cha sukari katika kaunti hiyo ili kuokoa kilimo chao dhidi ya hasara inayoongezeka. Wakulima hao wamelalamikia hasara kubwa wanayopata kutokana na kucheleweshwa kwa usafirishaji wa miwa yao baada ya kukatwa, na viwanda vilivyoko nje ya kaunti hiyo.