10 Nov 2026 1:49 pm | Citizen TV 832 views Duration: 1:33 Wakulima wa miwa katika Kaunti ya Nandi wanadai kuna njama ya kuvuruga mchakato wa ujenzi wa kiwanda cha kwanza cha sukari katika kaunti hiyo.