6 Nov 2026 1:38 pm | Citizen TV 714 views Duration: 1:37 Wakulima wa miwa katika Kaunti ya Nandi wameitaka serikali kuharakisha mchakato wa uchaguzi wa maafisa wa Bodi ya Sukari nchini Kenya, ambao umecheleweshwa kwa miezi kadhaa.