Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa Nandi wageukia kilimo cha mboga na maharagwe kuongeza mapato

  • | Citizen TV
    1,594 views
    Duration: 2:50
    Wakulima wengi katika Kaunti ya Nandi wamegeukia kilimo cha mboga na maharagwe ili kuongeza mapato na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa yasiyotabirika. Wakulima hao pia wanajiunga katika vikundi ili kubadilishana maarifa na kuhamasishana kuhusu mbinu za kilimo endelevu.