Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wahimizwa kukumbatia teknolojia za kisasa kuongeza uzalishaji na kipato

  • | Citizen TV
    317 views
    Duration: 1:42
    Wakulima na wadau wa sekta ya kilimo wamehimizwa kukumbatia mbinu za kisasa za kilimo, teknolojia bunifu na kuongeza thamani ya mazao yao ili kuimarisha uzalishaji na kuongeza kipato.