Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wahimizwa kutumia mbinu mpya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

  • | Citizen TV
    511 views
    Duration: 1:55
    Wakulima nchini wametakiwa kukumbatia mbinu mpya za ukulima ili kukabiliana na makali ya mabadiliko ya tabia nchi ambayo yamekuwa yakiathiri ukulima na ufugaji kwa njia kubwa.