- 1,143 viewsDuration: 6:25Kuanzia mbolea ya ruzuku hadi ongezeko la malipo ya chai na kahawa, wakulima katika sekta hizo wametaja uwekezaji wa hivi punde wa serikali kama hatua muhimu ya kufufua kilimo nchini. Hata hivyo, wakulima bado wanalalamikia kucheleweshwa kwa baadhi ya miradi inayolenga kuboresha sekta hiyo. Kamau Mwangi alizungumza na wakulima wa eneo la Kati na kuandaa taarifa ifuatayo.