- 80 viewsDuration: 1:34Walanguzi wa dawa za dawa za kulevya na pombe haramu katika eneo la katikati ya nchi wamewekwa kwenye kurunzi ya serikali. Tahadhari hii ilitolewa na mrakibu wa eneo hilo Joshua Nkanatha, ambaye anasema baadhi ya wafanyabiashara hao wamekuwa wakipata amri za mahakama kujikinga huku wakiendelea na biashara haramu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive