Skip to main content
Skip to main content

Walimu 55 waliokuwa shuleni Nyabisase wakati wa vurugu kuandikisha taarifa

  • | Citizen TV
    13,778 views
    Duration: 2:27
    Walimu 55 waliokuwa wakisimamia mtihani wa kcse katika shule ya Nyabisase wakati ghasia zilipozuru wanasubiriwa kuandikisha taarifa kwa idara ya upelelezi wa jinai dci. Wasimamizi wa knec, wapishi na walinzi waliokuwa zamu pia watahojiwa huku chama cha walimu knut sasa kikishtumu vikali tukio hilo. Na kama anavyoarifu Chrispine Otieno, knut inawalaumu maafisa wa knec kufuatia kisha cha kufyatua risasi ndani ya shule hiyo.