16 Sep 2026 1:48 pm | Citizen TV 159 views Walimu wa chama cha KUPPET tawi la Kericho wameandamana wakitaka haki itendeke kwa mwalimu mwenzao, Martina Chepkemoi Ruto, aliyekuwa akifundisha katika Shule ya Sekondari ya Lalagin.