- 220 viewsDuration: 2:49Mpango wa kuanzisha matumizi ya vyakula vya kiasili katika shule zote nchini tayari imeng'oa nanga katika kaunti 5 nchini. Mpango huo unafuatia mafunzo kabambe ambayo yametolewa na maafisa wakuu wa makavazi ya kitaifa kwa wakulima , walimu wakuu na jamii kwa ujumla. CHRISPINE OTIENO na mengi zaidi