10 Nov 2026 10:18 am | Citizen TV 418 views Duration: 2:03 Wamiliki wa baa na biashara halali za pombe huko kĩserĩan atika kaunti ya kajiado wamejitokeza kupinga biashara ya pombe haramu na bandia, wakisema biashara hizo zinahatarisha afya ya umma na kuathiri ustawi wao kiuchumi.