29 Sep 2026 10:21 am | Citizen TV 382 views Duration: 1:38 Wanachama wa ODM katika Kaunti ya Migori wanatoa wito kwa uchaguzi mpya wa ngazi za chini baada ya Mahakama kubatilisha uchaguzi wa kamati ya uratibu wa chama hicho wa kaunti kwa madai ya ukiukaji wa Sheria.