6 Nov 2026 10:10 am | Citizen TV 778 views Duration: 1:58 Wanafunzi 930 wa chuo cha walimu cha Mosoriot Kaunti ya Nandi wameandamana kupinga agizo la kufanya tena baadhi ya mitihani waliyodai tayari waliifanya.