- 3,395 viewsDuration: 3:31Kutokana na misukosuko ya utovu wa nidhamu shuleni, wanafunzi wa shule ya upili ya Gesiaga kule Mugirango magharibi katika kaunti ya Nyamira washiriki maandamano ya amani kama njia moja ya kuwahamasisha wanafunzi wenzao kote nchini kuasi tabia ya kuteketeza shule.