27 Oct 2026 7:36 pm | Citizen TV 837 views Duration: 1:40 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi wameandamana jijini Nairobi wakitaka serikali kufanya mazungumzo na Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) ili kumaliza mgomo wa wahadhiri ambao sasa umeingia siku ya 26.