30 Oct 2026 1:36 pm | Citizen TV 864 views Duration: 3:04 Wanafunzi wa vyuo vya ufundi katika kaunti ya Uasin Gishu hasa wanaosomea lugha za kigeni ili kusaka ajira za ughaibuni,wamelalamikia ugumu wa mtalaa na mitihani ya lugha hiyo, na kupendekeza kufanyiwa mabadiliko.