- 6,721 viewsDuration: 2:31Wanafunzi wawili wa kidato cha tatu mjini Mombasa wanaendelea kutafutwa, siku nane baada ya kutoweka walipoondoka nyumbani. Wazazi wa wanafunzi hao wamesema juhudi za kuwatafuta wasichana hao hazijazaa matunda. Walisema walikuwa wameenda dukani kununua maziwa kabla ya kutoweka.