- 6,552 viewsDuration: 1:25Wanaharakati hapa nchini wameapa kuandamana siku ya alhamisi kutaka majibu kuhusu utekaji na uhamisho wa mwanasiasa wa upinzani wa Uganda, Dkt. Kizza Besigye. Kwenye kikao na wanahabari wanaharakati hao wamesema Kenya ilishiriki kufungiwa kwa Besigye, aliyekamatwa alipokuwa hapa nchini Novemba mwaka 2024 na kuhamishwa hadi Uganda. Aidha, wamelalamikia vitisho vya wazi vya mkuu wa majeshi wa Uganda na mwanawe Rais Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba