- 1,350 viewsDuration: 1:43Wanaharakati katika kaunti ya Uasin Gishu wamelaani vikali kutiwa mbaroni kwa mmoja wao kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya mihadarati. Kwenye kikao na wanahabari jijini Eldoret wanaharakati hao wamemtetea Benson Juma kama mwenzao anayepigania haki za wanyonge kwenye jamii na kutaja njama ya kuwakandamiza katika juhudi zao za kupigania haki.