- 467 viewsDuration: 2:01Wanaharakati wanaopigania kukomeshwa kwa dhulma za kijinsia kaskazini mwa bonde la ufa wamezidisha kampeni ya kukomesha dhulma hizo katika jamii,kampeni yao ikiwalenga makocha wa riadha ili kuwahamasisha kuchangia kwenye vita hivyo.