Skip to main content
Skip to main content

Wanajeshi wa Uingereza waliotelekeza watoto Kenya kufuatiliwa

  • | BBC Swahili
    4,375 views
    Duration: 46:41
    Mradi wa uchunguzi wa vinasaba (DNA) na msaada wa kisheria umefanikiwa kubaini baba wa watoto 20 waliotelekezwa na baba zao karibu na kambi ya jeshi nchini Kenya. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw