- 19,069 viewsDuration: 48sWakazi wa Lebanon mjini Beirut na miji mingine wamejitokeza katika mitaa kufurahia usitishaji mapigano wa siku 10 kati ya Israel na Lebanon. Walikimbia makazi wakati wa mzozo pia wameanza kurejea kwenye maeneo yao. #bbcswahili #lebanon #Israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw