7 Oct 2026 1:51 pm | Citizen TV 666 views Duration: 1:34 Wanasiasa wa Kenya kwanza waliendelea kuitetea serikali ya Rais William Ruto na kusema kwamba ataenda mihula miwili ya uongozi kulingana na katiba ya Kenya.