Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa wa serikali wampigia debe Ruto, wamsuta Uhuru

  • | Citizen TV
    3,422 views
    Duration: 2:58
    Wanasiasa wanaounga mkono serikali wameendelea kumpigia debe rais William Ruto huku wakiendelea kumsuta Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kuingilia siasa licha ya kuwa amemstaafu. Wakizungumza kaunti za Kisii, wanasiasa hawa wakiongozwa na kiongozi wa wengi bunge la kitaifa Kimani Ichungwah wametahadharisha upinzani kwa kile wanasema ni njama ya kupotoshwa na Rais mstaafu Kenyatta.