- 949 viewsDuration: 3:12Utafiti unaonesha kuwa kupunguza pengo la mishahara kati ya wanaume na wanawake kunaweza kuimarisha uchumi wa nchi nyingi barani Afrika. Ikiwa leo ni siku ya Wanawake Diuniani, video hii inaelezea ni kwa namna gani wanawake wakilipwa mishahara mikubwa zaidi kunaweza kukuza uchumi. #bbcswahilii #wanawake #jinsi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw