- 556 viewsDuration: 3:49Wanawake zaidi ya 100 ambao ni waathiriwa wa dhuluma za kijinsia katika Kaunti ya Kajiado wamefuzu kwa ujuzi wa kazi za ufundi baada ya kupata mafunzo hayo kwa mwaka mmoja. Mafunzo hayo ambayo yametolewa na mashirika yasiyo ya kiserikali yanahusisha ushonaji wa nguo na bidhaa za ushanga, upishi, ususi na ulimbwende.