Skip to main content
Skip to main content

Wanawake zaidi ya 100 Kajiado wanufaika na mradi wa ufugaji nyuki kukabiliana na tabianchi

  • | Citizen TV
    331 views
    Duration: 1:46
    wanawake zaidi ya 100 kutoka Kajiado ya Kati wamenufaika na mradi wa ufugaji wa nyuki unaonuiwa kuwapa njia mbadala ya kujipatia kipato ili kuwawezesha kupambana na mabadiliko ya tabianchi.