14 Jun 2026 7:23 pm | Citizen TV 1,918 views Duration: 2:21 Viongozi wanaounga mkono serikali nao wamewaelekezea lawama wenzao wa upinzani kwa mchipuko wa magenge ya wahuni. Viongozi hawa haswa wakikashifu uvamizi wa basi la wanafunzi katika eneo la Kakamega.