Skip to main content
Skip to main content

Wandayi aahidi nafuu ya mafuta huku Ndindi Nyoro akitaka ushuru ufutiliwe mbali

  • | Citizen TV
    5,391 views
    Duration: 3:49
    Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi amesema kuwa ongezeko la bei ya mafuta nchini ni suala ambalo serikali imelivalia njuga, akiahidi kuwa kupitia mikakati yake Wakenya watapata nafuu katika bei ya mafuta. Wandayi amesema kuwa ongezeko hilo limechochewa na kupanda kwa bei ya mafuta kote ulimwenguni. Haya yanajiri huku Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro akimuandikia barua Karani wa Bunge la Kitaifa akitaka sheria kufanyiwa mabadiliko ili kufutilia mbali ushuru katika bidhaa za mafuta kwa muda mfupi.