Skip to main content
Skip to main content

Wandayi amshambulia Gachagua kuhusu mafuta, Ndindi ataka Bunge lirejee kujadili mzozo

  • | Citizen TV
    5,552 views
    Duration: 3:29
    Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi amemsuta vikali kinara wa DCP Rigathi Gachagua akisema kuwa anawapotosha Wakenya kuhusu bei ya juu ya mafuta nchini. Wandayi, aliyekuwa akizungumza Kaunti ya Vihiga, amesema kuwa serikali inafanya kila juhudi kushusha bei ya mafuta. Haya yanajiri huku Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro akimuandikia rasmi Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula akitaka awaagize wabunge kukatiza mapumziko na kurejea Bungeni kujadili suala la mafuta.