Skip to main content
Skip to main content

Waogeleaji chipukizi wa Kenya waelekea Dakar kuwakilisha taifa Michezo ya Olimpiki ya Vijana

  • | Citizen TV
    841 views
    Duration: 54s
    Waogeleaji chipukizi wa kenya waliondoka nchini alhamisi kuelekea Dakar nchini senegal, ambako wataliwakilisha taifa katika michezo ya olimpiki ya vijana. Rais wa shirikisho la uogeleaji nchini teddy wamunyu,ameonyesha imani kubwa na kikosi kilichochaguliwa, akisema shirikisho limekusanya waogeleaji bora waliokuwepo ili kuiwakilisha kenya vyema katika mashindano hayo ya bara afrika.