28 Oct 2026 1:12 pm | Citizen TV 25,148 views Duration: 5:46 Waokoaji wanaendelea na zoezi la kujaribu kuwafikia watu wawili ambao jana waligunduliwa kuwa hai ndani ya vifusi vya jengo lililoporomoka mtaani eastleigh.