Skip to main content
Skip to main content

Wapangaji waruhusiwa kuchukua mali zao katika jengo hatari Riruta

  • | Citizen TV
    9,076 views
    Duration: 3:00
    Maafisa wanaoshughulikia usimamizi wa majanga jijini Nairobi wamewaruhusu wapangaji wa jengo hatari katika mtaa wa Riruta Satellite, Nairobi, kuingia ndani ya jengo hilo kuchukua mali zao. Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Majanga katika Kaunti ya Nairobi, Bramwell Simiyu, amesema jengo hilo bado ni hatari baada ya kugunduliwa kuwa na nyufa hatari.