Skip to main content
Skip to main content

Wasafiri wahangaika kwenye viwanja vya ndege licha ya mgomo kusitishwa

  • | Citizen TV
    2,512 views
    Duration: 3:17
    Mamia ya wasafiri wa ndege wameendelea kuhangaika katika viwanja vya ndege nchini, saa kadhaa baada ya wafanyakazi wa viwanja vya ndege kusitisha mgomo wao. Baadhi ya wasafiri wamelazimika kupanga upya safari zao baada ya kampuni kadhaa za ndege kusitisha safari kwa hadi wiki moja. Wasafiri hao sasa wanasema wamekosa namna ya kufika katika maeneo waliyokuwa wakielekea kwa shughuli zao.