16 Sep 2026 1:53 pm | Citizen TV 40 views Jumuiya ya Wasanii wa Maonyesho na Haki za Ubunifu ya Kenya imesambaza shilingi milioni 43.6 kama mirahaba kwa wabunifu 5,911 mwaka huu.