29 Sep 2026 7:42 pm | Citizen TV 2,093 views Duration: 1:16 Washukiwa 40 waliokamatwa baada ya genge la wahuni kuvamia Mtaa wa Tumaini, huko Pipeline, unaomilikiwa na marehemu Gerishon Kirima, wameachiliwa kwa dhamana.