Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wa mauaji ya Dkt Victoria Mutiso wadai njama ya kunyang’anywa mali

  • | Citizen TV
    5,220 views
    Duration: 2:34
    Washukiwa wa mauaji ya Dkt Victoria Mutiso, Rose Mbithe na mwanawe Chris Mulwa, wanadai kukamatwa kwao ni njama ya kutaka kunyang’anywa mali yao, ikiwemo shamba lenye thamani ya KSh 1.5 bilioni eneo la Mlolongo. Wakizungumza mahakamani, wawili hao walidai wanashutumiwa kwa kosa wasilolijua. Mbithe alikiri marehemu Mutiso aliwahi kuwa mfanyakazi wao ofisini kabla ya ndoa yake na Profesa David Ndetei kuvunjika.