- 8,124 viewsDuration: 2:50Washukiwa wawili katika mauaji ya Latifa Akumu Orimba wataendelea kuzuiliwa kwa siku 14 zaidi ili kuwapa wachunguzi wa DCI Lang’ata muda wa kukamilisha uchunguzi wao. Nyaraka za mahakama zinafichua safari iliyofuatwa kusafirisha mwili wa marehemu, ambao ulipatikana katika Mto Nithi. Ode Francis anaripoti.