- 2,613 viewsDuration: 2:29Polisi huko Kayole, wawakamata watu wanne wanaoshukiwa kuwa wezi ambao wanaaminika kuhusu na visa kadhaa vya uhalifu jijini Nairobi. Kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Njiru John Owuoth amesema polisi waliokuwa kazini waliwasimamisha watu watatu waliokuwa kwenye pikipiki. Ila watatu hao walitoroka huku wakitupa bunduki iliyokuwa na risasi. Polisi waliwasaka na kuwakamata na ni hapo ilipogunduliwa kuwa walikuwa wamehusika na visa kadhaa vya wizi wa kimabavu jijini.