Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa watatu wa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso wakamatwa

  • | Citizen TV
    1,472 views
    Duration: 1:55
    Washukiwa watatu zaidi wanaohusishwa na mauaji ya Daktari Victoria Mutiso wamekamatwa wakiwa mafichoni Uganda. Washukiwa wawili, akiwemo afisa wa polisi wa Kituo cha Thogoto, walikamatwa mjini Kampala huku mmoja akikamatwa eneo la Lang’ata hapa Nairobi. Ben Kirui ana taarifa zaidi.