Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa watatu wa mauaji ya mfanyabiashara wazuiliwa Kitale

  • | Citizen TV
    5,154 views
    Duration: 2:58
    Mahakama mjini Kitale imewazuilia kwa siku 14 washukiwa watatu wa mauaji ya mfanyabiashara Joseph Njuguna, akiwemo mkewe marehemu na nduguye. Washukiwa wamehusishwa na mauaji ya mfanyabiashara huyo mashuhuri mwenye umri wa miaka 68, nyumbani kwake eneo la Chepchoina, Kaunti ya Trans Nzoia, jumamosi usiku.