- 3,310 viewsDuration: 2:35Maafisa wa polisi eneo la Transmara Kusini wamewauwa kwa kupiga risasi washukiwa watatu wa ujambazi ambao inadaiwa wamekuwa wakisakwa kutokana na mauaji ya wafanyabiashara katika eneo hilo. Katika operesheni hiyo maalum, maafisa hao walipata bunduki ya AK47, Visu na silaha kadhaa pamoja na vifaa vya wizi.