Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa watatu wazuiliwa kwa siku 30 zaidi

  • | Citizen TV
    1,293 views
    Duration: 2:53
    Washukiwa watatu wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya Daktari Victoria Mutiso watazuiliwa kwa siku thelathini zaidi kuruhusu upande wa mashtaka kukamilisha uchunguzi. Katika uamuzi wake, hakimu mkuu mwandamizi wa mahakama ya Milimani Teresia Nyagena ameagiza watatu hao wazuiliwe katika vituo vitatu tofauti katika muda huo. Afisa wa polisi Collins Bett na Pius Muiru walikamatwa nchini Uganda wiki iliyopita huku mshukiwa wa tatu aliyetambuliwa kama Samuel Karanja akikamatwa jijini Nairobi.