- 19,352 viewsDuration: 2:44Wasiwasi umeibuka Kaunti ya Nairobi kufuatia visa vya wizi, hasa kwenye mikahawa. Kisa cha punde ni katika eneo la Westlands, ambapo wezi waliojihami kwa bastola waliiba simu saba na kipakatalishi. Polisi sasa wameanzisha uchunguzi wa kisa hicho kilichonaswa kwenye kamera za CCTV. Gatete Njoroge anaarifu kuhusu wizi huu ambao ni wa pili ndani ya muda wa mwezi mmoja sasa.