Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu wa afya Embu waonya kuhusu matumizi mabaya ya vidonge vya P2 kwa wanawake na wasichana

  • | Citizen TV
    605 views
    Duration: 1:14
    Wataalamu wa afya katika kaunti ya Embu wameibua wasiwasi kuhusu matumizi mabaya ya vidonge vya dharura vya kuzuia mimba, vinavyofahamika kama P2, miongoni mwa wanawake na wasichana.