3 Nov 2026 10:32 am | Citizen TV 621 views Duration: 2:01 Wataalamu wa afya wamekutana jijini Nairobi kujadili njia rahisi na nafuu za kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati na wale walio na matatizo makubwa ya kiafya barani Afrika.