- 700 viewsDuration: 1:13Wataalamu wa afya wanaonya kuhusu mianya iliyopo kwenye mipaka ya kenya kuwa inaweza kusababisha maradhi ya ebola kuingia nchini. Akizungumza kwenye kongamano la mwaka la afya la mataifa ya afrika, afisa mkuu wa afya wa amref africa daktari Githinji Gitahi, amesema maambukizi ya wahudumu wa afya nchini yanazua wasiwasi kuhusu kuwepo kwa vifaa bora vya kujikinga.